Reader Settings

Tatanizi

Prisila aliishia kukunja ndita mara baada ya kuona bwana huyo king’ang’anizi na suala la kumtaka kutaja bei pia lilimkera, lakini kutokana na mazingira waliokuwepo, alielewa.

“Sio suala la hela, jibu ni kwamba sitaki.”

“Vipi kuhusu gari zuri, au nyumba? Unaweza kuchagua kimoja wapo, usipoteze muda,” aliongea yule mwanaume kwa majigambo.

“Nimesema hapana, naomba uelewe na uniache,” aliongea Prisila kwa hasira.

“Bro, nadhani ni bora …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next