MIMI NA MIMI 3
A Story by Elton Tonny
Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Siri, Tamaa, Hila, Usaliti, Ukatili, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA TATU
★★★★★★★★★★★★★
Kwa sababu fulani sikutaka nianze kuhukumu mambo kwa njia ambayo huenda ingenifanya nitende bila busara. Nilimjua Miryam vizuri. Hakuwa wa tabia za... yaani... aisee! Mbona ingekuwa ngumu sana? Unajua kuna vitu vingine …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments