Reader Settings

Unaweza kurudi ulipoishia kupitia Maktaba.

“Wewe, nguruwe, nimekwambia nenda! Unataka kulala na nani?” aliongea Regina akimwangalia Hamza kwa macho yake mazuri.

“Naenda kumsaidia Shangazi kupila—nenda kaonge huko,” aliendelea kusema Regina.

Hamza alitaka hata kulia, lakini hakuwa na machozi. Mwanamke huyo alikuwa amebadilika uso wake kwa spidi kubwa mno, kama mtu anayekunjua kurasa za kitabu. Pia alijiuliza imekuwaje anaitwa "Nguruwe".Lakini hata hivyo, alipata ahueni baada ya kuona ameacha kulia.

Hamza palepale …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next