Prisila hakuwa na kazi ya kueleweka kwa muda huo kutokana na kuchukua muda mrefu kupumzika tangu alipoachia ngazi. Hivyo, aliona ni bora kutumia muda huo kuhakikisha kwamba Madam anapona.
Upande wa Eliza, alikuwa akisumbuliwa na mawazo kuhusu mama yake, licha ya amri zote za Ronicas kumtaka asiwe na wasiwasi. Hivyo, safari ya kupanda ndege kwenda kuonana naye ilikuwa ya furaha kubwa kwake.
Ndege ilikata anga …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments