MIMI NA MIMI 3
A Story by Elton Tonny
Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Siri, Tamaa, Hila, Usaliti, Ukatili, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA TANO
★★★★★★★★★★★★★
Niliishiwa pozi. Huyo ndiye mgeni mwenye Range ambaye Shadya alisema amefika hapo? Kwa nini sikuwaza kabisa kwamba ingeweza kuwa yeye? Festo alifikaje huku wakati kama huu, na alikuja kwa dhumuni lipi? Ilinishtua …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments