MIMI NA MIMI 3
A Story by Elton Tonny
Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Siri, Tamaa, Hila, Usaliti, Ukatili, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA KUMI
★★★★★★★★★★★★★
Baada ya kuwa tumeondoka club, niliamua tu kumrudisha Adelina nyumbani kwake kutokana na muda kuwa umeenda sana na hamu ya kufanya mambo mengine zaidi ikiwa imevurugwa. Adelina alikuwa mwelewa, na akanisihi niendelee …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments