MIMI NA MIMI 3
A Story by Elton Tonny
Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Siri, Tamaa, Hila, Usaliti, Ukatili, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA KUMI NA TISA
★★★★★★★★★★★★★★★★★
Ilikuwa ni Tesha. Nikabaki nikimwangalia kwa umakini alipokuwa akinikaribia, na alikuwa ameweka uso makini.
"JC... mbona umekuja hapa? Huyo alikuwa nani?" Tesha akauliza.
Nikaacha kumwangalia na kusema, "Twende turudi. Nimeemaliza kupunga …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments