MIMI NA MIMI 3
A Story by Elton Tonny
Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Siri, Tamaa, Hila, Usaliti, Ukatili, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA ISHIRINI
★★★★★★★★★★★★★★
Baada ya kubaki ofisini humo kwa mzee na maaskari kuwa wameondoka, akawa ameingia mama yangu na kunikuta nimekaa sofani, bado nikiwa nawaza kuhusu mambo yaliyotokea.
"Jayden..." akaniita.
Sikuitika na kuendelea tu kutazama pembeni.
Akakaa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments