MIMI NA MIMI 3
A Story by Elton Tonny
Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Siri, Tamaa, Hila, Usaliti, Ukatili, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJA
★★★★★★★★★★★★★★★★★★
Dakika si nyingi kupita nami nikawa nimemfikisha Stella nje ya geti la nyumba yake. Kwa mwendo huo mpaka kufika hapo, mwanamke huyu alijaribu kunisemesha baada ya kilichotokea kule kwa wazazi wangu, …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments