Vilikuwa ni vishindo vizito kutokea nje ya nyumba hiyo, hata Jimmy naye alishtuka na kujiuliza kuna nini huko? Wale walinzi watatu walianza kutoka nje kwa tahadhari wakiwa tayari wameshachomoa siraha zao tayari nyuma wakifuatiwa na Jimmy na wengine wote
Walipofika nje waliweza kushuhudia tukio la kutisha sana na la kikatili, walinzi watatu waliokuwa wakilinda nje wawili walikuwa wamepigizwa kwenye kiasi cha chuma kubonyea na mmoja …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments