Reader Settings

Unaweza kurudi ulipoishia kupitia Maktaba.

INVISIBLE 2

A Story by Elton Tonny

Familia, Urafiki, Mapenzi, Mahaba, Usaliti, Unyanyasaji, Ukatili, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa

R-rated 18+

Enjoy!


★★★★★★★★★★★★

SEHEMU YA SABA

★★★★★★★★★★★★


Nilianza kuhisi kidole kikitembea taratibu kwenye midomo yangu, kama kinauchora vile. Kilinitekenya, lakini nikajizuia kujongea hata kidogo. Hapa nilitambua kuwa tayari ilikuwa asubuhi, kwa kusikia sauti za mbali za jogoo wakiwika, na bila shaka aliyetembeza kidole kwenye mdomo …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next