HADITHI: SIKU ZA MWISHO
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
WhatsApp: +255621567672
Email: [email protected]
UMRI: 18+
SEHEMU YA AROBAINI NA MOJA
MWANZA
Kwenye moja ya kona za jiji la Mwanza hakukuwa na amani, amani haikuwepo kwa sababu kuna mwanaume mmoja alionekana akiwa anahema huku akiwa anaikata mitaa hiyo. Bwana huyo hakuonyesha utulivu, mwili wake ulikuwa wa kiume kweli lakini yeye mwenyewe binafsi alionekana …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments