HADITHI: SIKU ZA MWISHO
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
WhatsApp: +255621567672
Email: [email protected]
UMRI: 18+
SEHEMU YA AROBAINI NA MBILI
“Mtu?”
“Ndiyo”
“Unamaanisha nini?”
“Kuna mtu unatakiwa kuonana naye na yeye ndiye anaweza kukupa nafasi nyingine ya wewe kuwa hai”
“Hahaha hahahaa hivi unaniona mimi mtoto? Simamisha gari” alifoka kwa nguvu lakini mhusika hata hakufanya hivyo jambo ambalo lilimfanya afoke kwa sauti …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments