HADITHI: SIKU ZA MWISHO
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
WhatsApp: +255621567672
Email: [email protected]
UMRI: 18+
SEHEMU YA AROBAINI NA TATU
“Sijakuelewa kwamba unataka kuniua kama nikisema hapana?’’
“Wewe upo smart zaidi ya hapo, unajua kabisa siwezi kukuua kwa sababu kama ukisema hapana basi mimi nitaondoka na kijana wangu na baada ya hapo hatutakuja kuonana tena mpaka unakufa jambo ambalo nina uhakika kwamba hautamaliza …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments