HADITHI: SIKU ZA MWISHO
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
WhatsApp: +255621567672
Email: [email protected]
UMRI: 18+
SEHEMU YA AROBAINI NA NNE
Kile kifua hakikuwa kinafaa tena kwa matumizi kwa namna kilivyokuwa kimevunjika vibaya na kutobolewa. Alidondoka kama mzigo wa fungu la mboga za majani uliokosa wateja sokoni, walihamaki na kushangaa kutomuona mhusika kwamba alikuwa wapi na walizidi kupungua, walikuwa wamebakia nane kutoka kwenye …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments