HADITHI: SIKU ZA MWISHO
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
WhatsApp: +255621567672
Email: [email protected]
UMRI: 18+
SEHEMU YA AROBAINI NA NANE
“Unahitaji nini kwangu?”
“Wewe ni kibaraka wa nani?”
“Angalia mdomo wako mshenzi mkubwa wewe”
“Umenitisha tangu siku ya kwanza nilipo anza kukemea ushenzi ambao unaufanya, nimekuuliza swali haujanijibu”
“Wakati wako unakuja Kai ila sio leo. Siwezi kukuua kwa sasa kwa sababu …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments