MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
WhatsApp: +255621567672
Email: [email protected]
UMRI: 18+
SEHEMU YA HAMSINI NA MOJA
“Ni hilo tu?”
“Anahitaji wewe ufe baada ya kukanusha kauli yako kuhusu familia yake”
“Umesema?”
“Anakutaka wewe ukiwa marehemu”
“Anataka kumuua raisi?”
“Sijajua ila haya ndiyo maelezo yake”
“Na nisipofanya hivyo?”
“Taifa linaingia gizani jumla, amedai kwamba huko nyuma hakutumia nguvu zake ila kwa sasa atakuja …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments