Reader Settings

Unaweza kurudi ulipoishia kupitia Maktaba.

MWANDISHI: FEBIANI BABUYA

WhatsApp: +255621567672

Email: [email protected]

UMRI: 18+

SEHEMU YA HAMSINI NA TATU

“Unaonekana haumuamini mumeo, nini tatizo?” Othman aliuliza akionekana bado ana hasira kwenye uso wake.

“Kuna kitu hakipo sawa kuhusu yeye”

“Unahisi anakusaliti?”

“Hapana, moyo wangu unakuwa mzito kuhusu yeye hususani baada ya hizi safari zake ambazo sizielewi’’

“Unahitaji afuatiliwe?”

“Baba tunamuongelea ni baba wa mwanangu, siwezi …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next