Reader Settings

Unaweza kurudi ulipoishia kupitia Maktaba.

MWANDISHI: FEBIANI BABUYA

WhatsApp: +255621567672

Email: [email protected]

UMRI: 18+

SEHEMU YA HAMSINI NA TANO

Bwana huyo hakuwa amemaliza kazi yake hivyo aliketi hapo sebuleni na kuanza kuyala yale matunda bila wasiwasi, alitakiwa kuwasubiri na wale wengine waweze kurudi kwa sababu hakutakiwa kupona mtu hata mmoja kwa hao ambao alikuwa amewafuata humo ndani. Saa saba na dakika zake hamsini akiwa anatazama runinga kama …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next