MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
WhatsApp: +255621567672
Email: [email protected]
UMRI: 18+
SEHEMU YA HAMSINI NA SITA
TIGI
Kwenye jengo moja ambalo lilikuwa limetelekezwa maeneo ya Tegeta, jengo ambalo kwa zamani lilikuwa likitumika kama kiwanda kidogo cha vyuma ndipo watu hao walipoamua kuyaweka makazi yao ya siri, eneo lilikuwa tulivu na halikuwa na harakati nyingi kwa sababu hakuna mtu ambaye alikuwa na muda nalo zaidi …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments