MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
WhatsApp: +255621567672
Email: [email protected]
UMRI: 18+
SEHEMU YA HAMSINI NA SABA
“Kwa upande wako unaona kuna nini au unashauri jambo gani Layka?”
“Kwanza hapa kuna makundi ya watu wawili ambayo yapo pembeni yetu. Kundi la kwanza ni kundi la familia hii ya Lionela ambayo ndilo jukumu ambalo tumepewa lakini kundi la pili ni hili kundi la watu wapya ambao …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments