MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
WhatsApp: +255621567672
Email: [email protected]
UMRI: 18+
SEHEMU YA HAMSINI NA NANE
************
Raisi akiwa ametulia zake anawaza mambo ya hovyo ambayo alikuwa ameyafanya na madhara ambayo huenda alikuwa na uhakika kwamba yalikuwa yanaenda kutokea, alipokea taarifa zingine ambazo kwa upande wake hazikuwa njema kwa mara nyingine tena ndipo alipokea taarifa zingine za kushtua asubuhi ya mapema kabisa. Taarifa hizo …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments