MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
WhatsApp: +255621567672
Email: [email protected]
UMRI: 18+
SEHEMU YA SITINI NA MOJA
Mikono yake ilikuwa ikitetemeka, hakuwa akiamini kwamba alikuwa anamuona Lionela ana kwa ana. Alitabasamu na kununa kwa wakati mmoja kwa sababu hata yeye mwenyewe hakuwa na uhakika kabisa na jambo ambalo alikuwa anaenda kulifanya pale. Uso wake ulikuwa unatokwa na jasho kwa wingi mno, Lionela alikuwa pale kweli …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments