MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
WhatsApp: +255621567672
Email: [email protected]
UMRI: 18+
SEHEMU YA SITINI NA MBILI
Ni kwamba bwana yule wakati anaushusha ule upanga, alihisi jambo, jambo ambalo ndilo lilimfanya kupotezea kile ambacho alikuwa anakifanya wakati huo. zilisikika hatua za mtu ambaye hakuwa na wasiwasi zikija upande ule, zilikuwa ni hatua za mtu ambaye alikuwa anakuja upande wake yeye ndiyo maana alishtuka kwani zilikuwa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments