MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
WhatsApp: +255621567672
Email: [email protected]
UMRI: 18+
SEHEMU YA SITINI NA TATU
Hayo yote yalikuwa yanaendelea Kasian alikuwa anaona, aliangalia mpaka yule bwana alipo tolewa moyo wake, alishindwa kuvumilia yeye mwenyewe akiwa haelewi kama ilikuwa ni hofu au nini lakini alijikuta tu amezimia. Wawili wale walimaliza kazi yao na muda ule ule umeme ulikatwa sehemu ile huku ving’ora vikiwa vimetanda …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments