Reader Settings

Unaweza kurudi ulipoishia kupitia Maktaba.

MWANDISHI: FEBIANI BABUYA

WhatsApp: +255621567672

Email: [email protected]

UMRI: 18+

SEHEMU YA SITINI NA SABA

“Unaweza kuniambia kwamba ulikuwa unawaza nini jana kushindwa kumaliza kazi na watu wako ambao uliwatuma kule alipokuwepo mke wangu?”

“Unahisi nilikuwa mjinga wa kucheza ile kamari?”

“Haukuwa ukiamini kama atakuja kweli?”

“Sikuwa na uhakika na jambo kama hilo ila pia nilijua atakuwa na plan mpaka ajitokeze hadharani …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next