MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
WhatsApp: +255621567672
Email: [email protected]
UMRI: 18+
SEHEMU YA SABINI
Yule mwenzake naye aliona kama jamaa yake alikuwa na mpango wa kumuua na sio kupigana kirafiki tu, hivyo alirukia mbele ambapo alidunda ardhini wakati anageuka alikuwa amevuta visu viwili kwenye miguu yake ambapo alienda kushambulia kwa nguvu kubwa akihitaji kummaliza mwenzake. Alimtishia mwenzake ambaye alifanikiwa kuupangua mkono mmoja huku mmoja …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments