MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
WhatsApp: +255621567672
Email: [email protected]
UMRI: 18+
SEHEMU YA SABINI NA SITA
“Who are you?” aliuliza kwa hofu mheshimiwa.
“Una sura yangu tayari nina amini hilo, watu wengi wameiharibia jina familia yangu kwenye taifa lako, unataka kuniambia kwamba haujawahi kuiona hii sura mahali popote?” lilikuwa swali gumu ila rahisi kulijua, alipo mtazama kwa umakini ndipo akagundua kwamba kweli alikuwa akimjua …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments