MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
WhatsApp: +255621567672
Email: [email protected]
UMRI: 18+
SEHEMU YA SABINI NA NANE
“Huo ni msaada mkubwa kutoka kwa familia binafsi, inanishangaza kwanini hamjalisaidia taifa lenu?”
“Familia zaidi ya laki tano zinaishi kwa sababu yetu ila huwa hatutangazi, tangu muasisi wa familia hii awepo, Tanzania imenufaika na zaidi ya bilioni ishirini za kimarekani”
“Kheee! Pesa zote hizo wamezipeleka wapi mbona …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments