Reader Settings

Unaweza kurudi ulipoishia kupitia Maktaba.

MWANDISHI: FEBIANI BABUYA

WhatsApp: +255621567672

Email: [email protected]

UMRI: 18+

SEHEMU YA THEMANINI

Walitoka wakiwa na haraka na wenge la hatari, aliyekuwa mbele kuna kitu alikiona wakati anatoka mlangoni.

“Inamaaaaa” alitamka kwa sauti ya nguvu baada ya kuona kwamba kuna kitu kinang’aa, ile sauti yake haikuendana na ambacho yeye alikiona hivyo walisikika wawili wakiwa wanalalamika. Ni shilingi moja ilirushwa kwa nguvu kubwa …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next