MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
WhatsApp: +255621567672
Email: [email protected]
UMRI: 18+
SEHEMU YA THEMANINI NA MBILI
Kikao kilikuwa kinaongozwa na mtaasisi wa mambo mwenyewe ambaye alikuwa ni mkurugenzi wa NIS. Hata watu wake walijua kabisa kwamba mambo hayakuwa sawa ndiyo maana akawepo mwenyewe.
“Leo usiku tumepokea mambo mawili mazito na mabaya ambayo yametupata, la kwanza ni hapa hapa Kenya ambapo waziri wa mambo ya …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments