MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
WhatsApp: +255621567672
Email: [email protected]
UMRI: 18+
SEHEMU YA THEMANINI NA TANO
“Kwa aina ya mauaji ambayo wanayafanya hapo basi inatakiwa sisi tuwe na akili zaidi kuweza kuwazidi wao” wanaume hao walikuwa wakibadilishana mawazo kuweza kujua namna ambavyo wangefanikiwa kuipata familia hiyo maarufu na hatari.
“Kabla ya kujua tunawapatia wapi watu hao nadhani kuna umuhimu wa kuweza kujua kwamba …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments