MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
WhatsApp: +255621567672
Email: [email protected]
UMRI: 18+
SEHEMU YA THEMANINI NA SABA
“Alikufanya nini baada ya pale?”
“Nilijaribu kupigana naye ila uhalisia ni kwamba sikuwa hata na huo uwezo wa kushindana naye, alinipiga vibaya mpaka nikazimia, nilipokuja kuzinduka ni wenzangu wawili ndio walikuwa pembeni yangu’’ wakati Layka anajielezea Kasian alikuwa anawasikiliza kwa umakini akiwa anazungusha shilingi inayo ng’aa kwenye mkono …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments