MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
WhatsApp: +255621567672
Email: [email protected]
UMRI: 18+
SEHEMU YA TISINI
“Kwanini nifanye jambo kama hilo?”
“Kwa sababu nina uhakika kwamba Timotheo ataingilia hili hawezi kuvumilia, yule ni miongoni mwa watu ambao ni wazalendo wa taifa hili kama mimi hatakaa sehemu akiwa analiangalia taifa lake linaingia sehemu ambayo haielewi”
“Yote haya ni Lionela ndiyo ameyataka?”
“Unauliza maswali rahisi kiongozi”
“Na …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments