MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
WhatsApp: +255621567672
Email: [email protected]
UMRI: 18+
SEHEMU YA TISINI NA TANO
“Kwanini unafanya hivi na unajua kabisa sehemu ambayo tupo? Huoni kama taifa lipo kwenye hatari kubwa?”
“Unahisi sijui hilo?”
“Basi unajua pia kwamba hauwezi kunizuia kufanya hii kazi ambayo nimeanza nayo tangu siku ya kwanza”
“Ndo maana nimekushukuru”
“Nini kimetokea?”
“Nimeingia makubaliano na Lionela”
“Kwamba?”
“Mimi …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments