HADITHI: SIKU ZA MWISHO
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
WhatsApp: +255621567672
Email: [email protected]
UMRI: 18+
SEHEMU YA MIA NA MBILI
“Unataka nini kwangu?”
“Naweza kusema kwamba naijua historia yako yote na yule mtoto, naelewa maisha ambayo yalitokea kule Peenuga, naelewa kwamba umempoteza rafiki yako na una mtoto ambaye unataka kumtumia kufanikisha zoezi lako lakini wewe pekeyako hauwezi kuifanya hiyo kwazi kwa sababu nikivujisha …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments