HADITHI: SIKU ZA MWISHO
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
WhatsApp: +255621567672
Email: [email protected]
UMRI: 18+
SEHEMU YA MIA NA TATU
“Kwahiyo anatakiwa kutengenezwa kabla?”
“Hapana, kama wakija kugundua kwamba alitengenezwa kabla basi itakuwa tatizo kubwa kwa upande wetu, anatakiwa aende kwao akiwa amelegea na baadae ndipo watamtengeneza wao na hilo ndilo jambo ambalo litafanya aaminike zaidi kwakuwa wataona kwamba ni wao wamemuunda kutoka …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments