“Kwanini unauliza hivyo , wakati unajua kabisa. Wewe ni mzuri na haufanani nao . Wewe ni mdogo kuliko wao na silika yako pia ni tofauti”
“Kweli?”
Hamza kwa jinsi alivyoona jicho lilivyomlegea Prisila aliona hali inazidi kuwa mbaya.
“Siwezi kukudanganya”Aliishia tu kujibu.
“Kwahio Hamza, unavutiwa na wanawake aina yangu?”Aliuliza Prisila, ingawa sauti yake ilikuwa imelegea sana lakni pia ilikuwa na wasiwasi.
Hamza ni kama uchizi …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments