HADITHI: SIKU ZA MWISHO
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
WhatsApp: +255621567672
Email: [email protected]
UMRI: 18+
SEHEMU YA MIA NA TANO
“Bos……”
“Kama kuna ambaye atakaidi hii amri yangu basi nitamuua lakini kwa wewe nadhani kazi ambayo ipo mbele yako ni ngumu na kubwa kuliko hii ambayo naenda kuifanya mimi. Unajua kabisa kwamba nilifanya maamuzi ya mwanangu kwenda mbali na haya maisha ila haukujua …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments