Reader Settings

Unaweza kurudi ulipoishia kupitia Maktaba.

HADITHI: SIKU ZA MWISHO

MWANDISHI: FEBIANI BABUYA

WhatsApp: +255621567672

Email: [email protected]

UMRI: 18+

SEHEMU YA MIA NA SITA

Wale wanaume ishirini walijigawa kwenye makundi manne tofauti kukiwa na kiza kinene, eneo lilikuwa linatisha hivyo walikuwa wakitembea kwa kutumia tochi ili waweze kuona yale ambayo yalikuwa mbele yao. Kuna mtu alihisi kama kuna upepo mkali unavuma upande wake tu huku maeneo mengine …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next