HADITHI: SIKU ZA MWISHO
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
WhatsApp: +255621567672
Email: [email protected]
UMRI: 18+
SEHEMU YA MIA KUMI NA NNE
Mwanamke huyo alitembea kwa nguvu za ajabu mithili ya mtu ambaye hakuwa akikanyaga ardhini. Alitua juu ya ukuta wa jumba hilo na kuingia mpaka ndani ambapo wakati anatua kile kitambaa kilikuwa hewani upanga ulizama kwenye kifua cha mlinzi mmoja kisha akauzungusha kwenye …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments