HADITHI: SIKU ZA MWISHO
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
WhatsApp: +255621567672
Email: [email protected]
UMRI: 18+
SEHEMU YA MIA KUMI NA SABA
Mwendo wake ulikuwa wa mahesabu makali, alitambua kabisa kwamba walikuwa eneo hatari ambalo kama wangefanya makosa basi mtu ambaye alikuwa mbele yao hakuwa wa kawaida, maana yake ni kwamba wangekufa vibaya. Wanaume hao kwenye kutembea walijikuta wanasimama, waligusa ardhini na kugundua kwamba …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments