HADITHI: SIKU ZA MWISHO
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
WhatsApp: +255621567672
Email: [email protected]
UMRI: 18+
SEHEMU YA MIA KUMI NA TISA
Lionela aliuzungusha ule upanga wake ukakita kwenye shingo ya yule mwanaume ambaye alienda kumpokea hivyo jumla humo ndani wakawa wamebaki watu nane ukijumlisha na yeye mwenyewe. Alirudi nyuma na kuufunga mlango akiwa anavuja damu, hakuna binadamu ambaye alikuwa anatakiwa kutoka akiwa hai …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments