HADITHI: SIKU ZA MWISHO
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
WhatsApp: +255621567672
Email: [email protected]
UMRI: 18+
SEHEMU YA MIA ISHIRINI
Alijikusanya upya na kutembea kwa kudunda mle sakafuni, mwili wake ulivimba vyema mwanaume huyo ambaye aligeuka na kiwiko huku akiwa anausogeza upanga wake kwa Lionela. Upanga ulipita pembeni ule mkono ambao ulikuwa na kisu ulikoswa na upanga wa Lionela mpaka akakitupa kila kisu …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments