HADITHI: SIKU ZA MWISHO
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
WhatsApp: +255621567672
Email: [email protected]
UMRI: 18+
MWISHO...................
Raisi huyo alifungwa kwenye gereza la pekeyake ambalo lilikuwa likimilikiwa na shirika la kijasusi yaani TIGI. Ulipita mwezi mzima akiwa ndani na selo ambayo ilikuwa ardhini, kwa mwezi mzima hakuwahi hata kuliona jua kabisa. Alikuwa amejikatia tamaa ya maisha, kwa mwezi mmoja alikuwa ameanza kufubaa mno kwani …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments