INVISIBLE 2
A Story by Elton Tonny
Familia, Urafiki, Mapenzi, Mahaba, Usaliti, Unyanyasaji, Ukatili, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA KUMI NA MBILI
★★★★★★★★★★★★★★★★
Ni baada ya kuona kuwa ilikuwa ni Lyla ndiye alinisemesha hivyo, ndipo nikashusha pumzi ya utulivu.
"Umenishtua!" nikamwambia.
"Ndiyo kawaida yangu," akajibu.
"Umeni-miss tayari?" nikamuuliza.
"Excuse me?" akashangaa.
"Nashangaa unawezaje kufika tu nilipo. Inamaanisha huwa unanifatilia …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments