Black Dragon Durk na Thunder Dragon Sandel, wote walikuwa wanajeshi kwa takribani miaka ishirini, na walikuwa wamebobea sana katika mbinu za kushambulia kwa ukamilifu wa hali ya juu kabisa.
Kawaida ndani ya chama lao, lazima walishawahi kushambuliana, lakini awamu hii ilikuwa ni mashambulizi ya kiuhasama. Hivyo, nguvu nyingi zilikuwa zikitumika. Kutokana na Durk kuwindwa kwa muda mrefu, nguvu zake zilikuwa zimeshuka sana, jambo lililompa faida …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments