Kilio cha tabasamu
Prisila na Eliza waliokuwa wakisikiliza maongezi hayo wakiwa nyuma ya gari walijikuta wakisismkwa na miili maana maongezi hayo yalionekana kuwa mazito.
Na mara baada ya Eliza kusikia jina la bildersberg club ndio alipokuja kuhamaki.
“Hivi ni kweli huo umoja upo ? Siku zote nilijua ni uzushi tu kama ilivyo kwa freemason?”Aliuliza Eliza.
“Eliza , Bildersberg ndio nini?”Aliuliza Prisila.
“Nimesikia tu juu juu …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments