Reader Settings

Unaweza kurudi ulipoishia kupitia Maktaba.

MIMI NA MIMI 3

A Story by Elton Tonny

Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Siri, Tamaa, Hila, Usaliti, Ukatili, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa

R-rated 18+

Enjoy!


★★★★★★★★★★★★★★★★★★

SEHEMU YA ISHIRINI NA TATU

★★★★★★★★★★★★★★★★★★


Nikabaki nimemtazama Bertha usoni utadhani sikuwa nimeelewa alichotoka kusema.

Akaniangalia kwa njia yenye msisitizo na kuuliza, "Well?"

Nikaacha kumtazama. Alichokuwa ametoka kusema kiliniacha njia panda.

"JC, I don't like to be left hanging..." …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next