Bila ya kueleweka wametokea wapi, mashetani vichaa waliongezeka kutoka pande tofauti idadi yao ikiwa si chini ya ishirini, wakiwazingira kundi la HIdden Supremacy na Jimmy.
Walikuwa wakitoa harufu mbaya kama ya uozo iliyoambatana na damu,Jimmy alitamani kutapika kwa kichefuchefu alichojisikia,alijiambia mizoga ina afadhali,ilikuwa ni harufu kali kana kwamba hawakuoga zaidi ya miaka mia moja
"Kijana Ifanya juu chini uondoke hapa,mahali hapa si salama" aliongea Joshua …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments